Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| ►
◄◄ |
◄ |
1908 |
1909 |
1910 |
1911 |
1912
| 1913
| 1914
| 1915
| 1916
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1912 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 8 Januari - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 21 Januari - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 30 Januari - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 12 Februari - Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy, mwanahistoria kutoka Zanzibar
- 19 Aprili - Glenn Seaborg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 22 Mei - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 27 Mei – John Cheever, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979
- 28 Mei - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973
- 30 Mei - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 12 Julai - Kardinali Laurean Rugambwa wa Dar es Salaam
- 13 Agosti - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 30 Agosti - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 24 Septemba - Robert Lewis Taylor, mwandishi kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Papa Yohane Paulo I (kwa jina la Albino Luciani)
- 19 Novemba - George Palade, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 30 Novemba - Gordon Parks, msanii wa Marekani
bila tarehe
- Abdallah Rashid Sembe, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 20 Aprili - Bram Stoker, mwandishi kutoka Ireland
- 20 Mei - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
- 12 Juni - Frederic Passy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901
- 30 Juni - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 6 Oktoba - Auguste Beernaert, mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909
- 30 Oktoba - James Sherman, Kaimu Rais wa Marekani
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=1912&oldid=991121"
