Biko ni mchezo wa kubahatisha nchini Tanzania.
Mchezo huo hunachezwa kwa kutumia simu ya mikononi na mshindi anapata zaidi ya milioni mbili.
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Biko&oldid=1117716"
