VOOZH about

URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Bregenz

⇱ Bregenz - Wikipedia, kamusi elezo huru


Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
👁 Image
Sehemu ya Mji wa Bregenz
Bregenz
👁 Image

Nembo

Mahali pa mji wa Bregenz katika Austria

Majiranukta: 47°30′18″N 9°44′57″E / 47.50500°N 9.74917°E / 47.50500; 9.74917
Nchi Austria
Jimbo Vorarlberg
Idadi ya wakazi
-Wakazi kwa ujumla 27,000
Tovuti:www.bregenz.at

Bregenz ni mji mkuu wa Vorarlberg nchini Austria. Iko karibu na ziwa kubwa la Ziwa la Konstanz kama 427m juu ya UB. Idadi ya wakazi wake ni takriban 27.000.

👁 Image
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
👁 Image
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bregenz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.