VOOZH about

URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/George_Porter

⇱ George Porter - Wikipedia, kamusi elezo huru


Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
👁 Image
Mwanakemia George Porter
👁 Image

George Porter (6 Desemba 1920 31 Agosti 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza hali za ulinganifu wa molekuli. Mwaka wa 1967, pamoja na Manfred Eigen na Ronald Norrish alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".

👁 Image
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Porter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.