VOOZH about

URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Li_Bai

⇱ Li Bai - Wikipedia, kamusi elezo huru


Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
👁 Image
Uchoraji wa Li Bai

Li Bai (mnamo 701-762) alikuwa mshairi nchini China wakati wa nasaba ya Tang. Mara nyingi hutajwa kama mmoja wa washairi wakubwa wa China. Zaidi ya mashairi yake 1,000 yamehifadhiwa.