VOOZH about

URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Wajibu

⇱ Wajibu - Wikipedia, kamusi elezo huru


Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
👁 Image
Mwalimu akitimiza wajibu kwa wanafunzi wake.
👁 Image
Mainjinia wakitimiza wajibu wao.
👁 Image
Kenneth Harris akitimiza wajibu wake maabara.

Wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.

Kila mtu ana wajibu wake, hata kama ni baba wa familia.

Mifano ya wajibu:

  • wa baba:
  • kulinda familia yake
  • kusomesha watoto wake
  • kufanya kazi kwa bidii
  • wa mama:
  • kumsaidia baba kazi
  • kuwapa watoto upendo, kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
  • kufanya kazi
  • wa mchungaji:
  • kuhakikisha anaandaa mahubiri yake vizuri
  • kuhakikisha anahubiri vizuri
  • kuwatunza waumini wake na kuwaombea
  • kutunza usafi wake na kanisa lake.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.