Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]manyunyu (wingimanyunyu)
- Aina ya mvua ambayo huwa ni nyepesi sana na aghalabu hunyesha kwa matone madogomadogo na
mtu anaweza kutembea ndani ya mvua bila kulowa.
Tafsiri
[hariri]Rudishwa kutoka "https://sw.wiktionary.org/w/index.php?title=manyunyu&oldid=246228"
