Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]nahodha (wingimanahodha)
- kiongozi wa meli
- ni mchezaji ambaye ameteuliwa rasmi kuongoza timu wakati wa mchezo.
Visawe
[hariri]- Kiranja
Tafsiri
[hariri]Matumizi katika sentensi
[hariri]- nahodha alikwenda kwa waamuzi kuomba ufafanuzi kuhusu uamuzi wa kupiga faulo mwishoni mwa robo ya tatu.
Rudishwa kutoka "https://sw.wiktionary.org/w/index.php?title=nahodha&oldid=246308"
