VOOZH
about
URL: https://www.trtafrika.com/swahili/maoni
β± TRT Afrika - Maoni
|
Swahili
|
Swahili
MAONI
KWA NINI USHIRIKIANO WA SOMALIA-UTURUKI NI KIELELEZO CHA SERA YA KIGENI YA KARNE YA 21
Awamu ya kisasa ya mahusiano ya Somalia-Uturuki ilianza na uingiliaji wa hali ya juu wa kibinadamu wa Ankara wakati wa njaa ya 2011 ya Somalia. Kilichofuata sio mzunguko wa kawaida wa misaada ya muda mfupi, lakini ushirikiano endelevu
π Kwa nini ushirikiano wa Somalia-Uturuki ni kielelezo cha sera ya kigeni ya karne ya 21
π Kwa nini ushirikiano wa Somalia-Uturuki ni kielelezo cha sera ya kigeni ya karne ya 21
SIASA
UTURUKI
JARIDA
MICHEZO
AFRIKA
Maoni
π Zaidi ya nyimbo za taifa: Siku ya Uhuru wa Afrika sasa lazima imaanishe ukombozi wa kiuchumi
π Zaidi ya nyimbo za taifa: Siku ya Uhuru wa Afrika sasa lazima imaanishe ukombozi wa kiuchumi
Zaidi ya nyimbo za taifa: Siku ya Uhuru wa Afrika sasa lazima imaanishe ukombozi wa kiuchumi
Miongo kadhaa baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni, Waafrika zaidi ya bilioni 1.4 bado wanaishi kama watumwa wa kiuchumi.
π Kwa nini Kombe la Dunia 2026 litakuwa lenye ushawishi wa kimataifa zaidi katika historia ya FIFA
π Kwa nini Kombe la Dunia 2026 litakuwa lenye ushawishi wa kimataifa zaidi katika historia ya FIFA
Kwa nini Kombe la Dunia 2026 litakuwa lenye ushawishi wa kimataifa zaidi katika historia ya FIFA
Kwa kushirikisha timu 48 na nchi tatu wenyeji, Kombe la Dunia 2026 halitakuwa tu lenye timu nyingi zaidi, bali pia litabadilisha namna matukio makubwa ya michezo yanavyopangwa na kunufaishwa kibiashara.
π Jukwaa la Kidiplomasia la Antalya kwa mtazamo wa viongozi wa Afrika
π Jukwaa la Kidiplomasia la Antalya kwa mtazamo wa viongozi wa Afrika
Jukwaa la Kidiplomasia la Antalya kwa mtazamo wa viongozi wa Afrika
Antalya ndiyo sehemu ambayo nchi zinazoendelea zimepata sauti sasa.
π Kuliondoa Bara la Afrika kutoka kusuasua hadi kutoa muelekeo
π Kuliondoa Bara la Afrika kutoka kusuasua hadi kutoa muelekeo
Kuliondoa Bara la Afrika kutoka kusuasua hadi kutoa muelekeo
Mkutano uliomalizika wa 'Africa Forward Summit' unatakiwa kuonekana kama mwanzo. Lazima tuwe na bara ambalo limejipanga na linafahamu malengo yake kwamba makubaliano ya ushirikiano yameandikwa Nairobi, siyo tu kutiwa saini huko.
π Maji, maandamano na mamlaka: Jinsi Madagascar iliingia katika enzi mpya ya kisiasa
π Maji, maandamano na mamlaka: Jinsi Madagascar iliingia katika enzi mpya ya kisiasa
MAJI, MAANDAMANO NA MAMLAKA: JINSI MADAGASCAR ILIINGIA KATIKA ENZI MPYA YA KISIASA
Yaliyoanza kama maandamano ya matatizo ya kila siku yalifichua malalamiko ya kina ya kisiasa na kiuchumi nchini Madagascar, na kuweka njia ya mpito inayoongozwa na jeshi na uhusiano wa karibu na Moscow.
SIASA
π Hifadhi ya Jamii Barani Afrika: Nguvu ya Ubuntu
π Hifadhi ya Jamii Barani Afrika: Nguvu ya Ubuntu
Hifadhi ya Jamii Barani Afrika: Nguvu ya Ubuntu
Esther Mpagalile
π Tuwalinde watoto wetu dhidi ya ukatili wa kijinsia mitandaoni
π Tuwalinde watoto wetu dhidi ya ukatili wa kijinsia mitandaoni
Tuwalinde watoto wetu dhidi ya ukatili wa kijinsia mitandaoni
Magdalene Wanza
π Djibouti: Taifa dogo lenye diplomasia βnyingiβ
π Djibouti: Taifa dogo lenye diplomasia βnyingiβ
Djibouti: Taifa dogo lenye diplomasia βnyingiβ
Hafsa Abdiwahab Sheikh
π Hasira ya Afrika Kusini imeelekezwa pasipo sahihi; Afrika haitaendelea kubeba maumivu haya milele
π Hasira ya Afrika Kusini imeelekezwa pasipo sahihi; Afrika haitaendelea kubeba maumivu haya milele
Hasira ya Afrika Kusini imeelekezwa pasipo sahihi; Afrika haitaendelea kubeba maumivu haya milele
Afrika Kusini haiwezi kuendelea kufurahia faida za biashara ya Afrika, uwekezaji wa Afrika, na mshikamano wa Waafrika huku ikiruhusu raia wake kumwaga damu ya Waafrika wenzao. Huo si Uanamajumui. Huo ni unyonyaji.
π Vijana wa Afrika wanataka kutambuliwa. Wakati ni sasa
π Vijana wa Afrika wanataka kutambuliwa. Wakati ni sasa
Vijana wa Afrika wanataka kutambuliwa. Wakati ni sasa
Vijana wa Afrika siyo tu wanasubiri sera zipitishwe; wanatoa muelekeo katika bara kupitia uanaharakati, ujasiriamali, na umoja. Swali si kuwa kama vijana wako tayari. Ni kama viongozi barani Afrika wako tayari.
π Gharama ya kuhukumiwa vibaya: Watawala wa Kiafrika na Shida Kubwa Tatu
π Gharama ya kuhukumiwa vibaya: Watawala wa Kiafrika na Shida Kubwa Tatu
Gharama ya kuhukumiwa vibaya: Watawala wa Kiafrika na Shida Kubwa Tatu
Wakala wanapopunguza ukadiriaji, mara moja huongeza gharama ya kukopa. Hii inageuza changamoto ya muda wa mtiririko wa pesa kuwa shida ya umiliki, na kuziba serikali za Kiafrika nje ya masoko ya mitaji haswa wakati zinahitaji utulivu.
π Zaidi ya fidia: Mustakbali wa Afrika unahitaji mtazamo mpya sio malipo
π Zaidi ya fidia: Mustakbali wa Afrika unahitaji mtazamo mpya sio malipo
Zaidi ya fidia: Mustakbali wa Afrika unahitaji mtazamo mpya sio malipo
Malipo ya kweli huanza watu wanapojirekebisha, wanapokataa hali duni, kurejesha historia yao, na kurejesha fahari yao .
π Namna vita vya Iran vinavyoathiri uchumi wa Afrika na siasa.
π Namna vita vya Iran vinavyoathiri uchumi wa Afrika na siasa.
Namna vita vya Iran vinavyoathiri uchumi wa Afrika na siasa.
Afrika inaagiza zaidi mafuta yaliyosafishwa, jambo linalofanya itatizike kwa kutokana na yanayoendelea duniani. Kupanda kwa bei za mafuta kutokana na vita vya Iran tayari kunasababisha mfumuko wa bei, na kupanda kwa gharama za maisha.
Na
Hafsa Abdiwahab Sheikh
π Kwa nini ushirikiano wa Somalia na Uturuki unaimarika licha ya minong'ono
π Kwa nini ushirikiano wa Somalia na Uturuki unaimarika licha ya minong'ono
Kwa nini ushirikiano wa Somalia na Uturuki unaimarika licha ya minong'ono
Uimara wa ushirikiano wa Somalia na Uturuki umejikita zaidi kwenye matokeo. Ni ushirikiano uliojengwa kwa msingi wa kuaminiana, umekuwepo kwa muda mrefu, na mafanikio yake yanaonekana.
π Kwa nini malipo ya fidia ya utumwa na ukoloni ni jambo muhimu sana kwa Afrika mwaka 2026
π Kwa nini malipo ya fidia ya utumwa na ukoloni ni jambo muhimu sana kwa Afrika mwaka 2026
KWA NINI MALIPO YA FIDIA YA UTUMWA NA UKOLONI NI JAMBO MUHIMU SANA KWA AFRIKA MWAKA 2026
Fidia siyo misaada ya hisani β inahusu uhamisho wa rasilimali za kifedha na kurekebisha mizani ya nguvu. Kuna haja ya kuvunjwa kwa mifumo inayoiadhibu Afrika mara kwa mara.
Waandishi
Mafanikio ya katiba ya Somalia yanatoa mwelekeo zaidi ya siasa za kiukoo
7 dk kusoma
Kizazi cha Afrika kitazeeka kabla ya kuwa tajiri?
4 dk kusoma
Kuwekeza katika wanawake halipaswi kuwa jambo la kujadiliwa
6 dk kusoma
Afrika ijiandaee na mashambulizi ya muda mrefu ya Marekani-Israel dhidi ya Iran
4 dk kusoma
π Kifo cha Saif Al-Islam Gaddafi na athari zake kwa siasa za Libya
π Kifo cha Saif Al-Islam Gaddafi na athari zake kwa siasa za Libya
KIFO CHA SAIF AL-ISLAM GADDAFI NA ATHARI ZAKE KWA SIASA ZA LIBYA
Kifo cha Saif Al-Islam Gaddafi kinaashiria kufungwa kwa kitabu cha nafasi ya familia ya Gaddafi katika siasa za Libya.
By
Yahya Habil