VOOZH about

URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Derbe

⇱ Derbe - Wikipedia, kamusi elezo huru


Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Derbe (kwa Kigiriki: Δέρβη, Derbe, pia Δέρβεια, Derbeia) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia,[1] kusini-magharibi mwa Uturuki wa leo[2].

Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 kaskazini-mashariki kwa Karaman[3][4].

Kuanzia mwaka 46 Mtume Paulo alifika mara kadhaa kuinjilisha huko (Mdo 14:6, 14:20, 16:1, 20:4).

  1. Hannah M. Cotton; Robert G. Hoyland; Jonathan J. Price; David J. Wasserstein (3 Septemba 2009). From Hellenism to Islam: Cultural and Linguistic Change in the Roman Near East. Cambridge University Press. ISBN978-0-521-87581-3.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Fant, Clyde E.; Reddish, Mitchell G. (2003-10-23). A Guide to Biblical Sites in Greece and Turkey. Oxford University Press. ISBN978-0-19-988145-1.
  3. Bastian Van Elderen, Some Archaeological Observations on Paul’s First Missionary Journey, 157-159 Ilihifadhiwa 3 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine..
  4. Steve C. Singleton, Derbe, from Bible Atlas from Space, Deeperstudy.com.
👁 Image
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Derbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.